Hosea 2:19-20

19 aNitakuposa uwe wangu milele;
nitakuposa kwa uadilifu na haki,
kwa upendo na huruma.
20 bNitakuposa kwa uaminifu,
nawe utamkubali Bwana.
Copyright information for SwhNEN